Joshua 7:21

21 aNilipoona katika nyara joho zuri la kutoka Babeli, shekeli mia mbili
Shekeli 200 za fedha ni sawa na kilo 2.3.
za fedha, na kabari ya dhahabu ya uzito wa shekeli hamsini,
Shekeli 50 ni sawa na gramu 600.
nikavitamani na nikavichukua. Tazama, vimefichwa ardhini ndani ya hema langu, pamoja na hiyo fedha chini yake.”

Copyright information for SwhKC